Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Desemba uku. 4
  • Masihi Alitimiza Unabii

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Masihi Alitimiza Unabii
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • A7-C Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 1)
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • A7-B Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Mwanzo wa Huduma ya Yesu
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Bidii kwa Ajili ya Ibada ya Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
  • Miujiza Ambayo Yesu Alifanya Katika Mji Alimokaa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Desemba uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 6-10

Masihi Alitimiza Unabii

Makala Iliyochapishwa

Karne nyingi kabla ya Yesu kuzaliwa, Isaya alitabiri kwamba Masihi angehubiri “katika eneo la Yordani, Galilaya ya mataifa.” Yesu alitimiza unabii huu aliposafiri katika eneo lote la Galilaya akihubiri na kufundisha habari njema.—Isa 9:1, 2.

Ramani ya Galilaya
  • Mtungi wa divai

    Alifanya muujiza wake wa kwanza —Yoh 2:1-11 (Kana)

  • Mitume 12

    Alichagua mitume wake —Mk 3:13, 14 (karibu na Kapernaumu)

  • Yesu akifundisha

    Alitoa Mahubiri yake ya Mlimani —Mt 5:1–7:27 (karibu na Kapernaumu)

  • Mvulana aliyefufuliwa

    Alimfufua mwana mzaliwa-pekee wa mjane —Lu 7:11-17 (Naini)

  • Yesu aliyefufuliwa akiwatokea wanafunzi wake

    Aliwatokea wanafunzi 500 hivi baada ya kufufuliwa—1Ko 15:6 (Galilaya)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki