Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Februari uku. 7
  • Mbingu Mpya na Dunia Mpya Zitatokeza Shangwe Nyingi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mbingu Mpya na Dunia Mpya Zitatokeza Shangwe Nyingi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • “Mambo ya Zamani Hayatakumbukwa Akilini”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • “Tazama! Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Ulimwengu Mpya Ulioahidiwa Na Mungu
    Endeleeni Kukesha!
  • Namna “Mbingu Mpya na Dunia Mpya” Zitakavyoanza
    Kuokolewa Kuingia Katika Dunia Mpya
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Februari uku. 7
Kristo akitawala akiwa Mfalme wa Ufalme wa Mungu

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 63-66

Mbingu Mpya na Dunia Mpya Zitatokeza Shangwe Nyingi

Ahadi ya Mungu ya kurudishwa inayotajwa katika Isaya sura ya 65 ni hakika hivi kwamba Yehova anaizungumzia kana kwamba tayari imetimizwa.

Yehova anaumba mbingu mpya na dunia mpya, ambamo mambo ya zamani hayatakumbukwa akilini

65:17

Mbingu mpya ni nini?

  • Serikali mpya itakayoleta hali zenye uadilifu duniani

  • Ilisimamishwa katika mwaka wa 1914 wakati ambapo Kristo alitawazwa kuwa Mfalme wa Ufalme wa Mungu

Dunia mpya ni nini?

  • Jamii ya watu kutoka katika kila taifa, lugha, na rangi ambao wanajitiisha kwa furaha chini ya utawala wa serikali mpya ya kimbingu

Ni kwa njia gani mambo ya zamani hayatakumbukwa akilini?

  • Mambo yanayotufanya tuwe na kumbukumbu zenye kuumiza—iwe ni maumivu ya kimwili, ya kiakili, au ya kihisia—hayatakuwepo tena

  • Wanadamu waaminifu watafurahia maisha sana na kila siku watakuwa na kumbukumbu zenye kupendeza

    Mwanamume anayetumia kiti cha magurudumu atembea, msichana akimbeba chui, familia ikichuma matunda, watu wakiunganishwa tena katika ufufuo
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki