Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Machi uku. 4
  • Machi 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Machi uku. 4

Machi 20-26

YEREMIA 8-11

  • Wimbo 117 na sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Wanadamu Wanaweza Kufanikiwa Tu Wakiongozwa na Yehova”: (Dak. 10)

    • Yer 10:2-5, 14, 15—Miungu ya mataifa ni miungu ya uwongo (it-1 555)

    • Yer 10:6, 7, 10-13—Tofauti na miungu ya mataifa, Yehova ndiye Mungu wa pekee wa kweli (w04 10/1 11 ¶10)

    • Yer 10:21-23—Wanadamu hawawezi kufanikiwa bila mwongozo wa Yehova (w15 9/1 15 ¶1)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yer 9:24—Ni mambo gani yanayofaa tunayoweza kujivunia? (w13 1/15 20 ¶16)

    • Yer 11:10—Kwa nini Yeremia alihusisha ufalme wa kaskazini wa makabila kumi katika matangazo yake ya hukumu hata ingawa Samaria lilikuwa tayari limeanguka mwaka wa 740 K.W.K.? (w07 3/15 9 ¶2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 11:6-16

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Mwaliko wa Ukumbusho na wp17.2 jalada—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Mwaliko wa Ukumbusho na wp17.2 jalada—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) ld uku. 4-5 (Mwanafunzi anaweza kuchagua picha mtakazozungumzia.)—Mwalike kwenye Ukumbusho.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 101

  • “Jinsi ya Kutumia Broshua Msikilize Mungu”: (Dak. 15) Tumia dakika tano za kwanza kuzungumzia makala iliyo kwenye Daftari. Kisha, onyesha na mzungumzie video inayoonyesha sehemu ya funzo la Biblia linalotegemea ukurasa wa 8 na 9 wa broshua hiyo. Mwanafunzi anatumia broshua Msikilize Mungu naye mwalimu anatumia broshua Msikilize Mungu Uishi Milele. Watie moyo wahudhuriaji wafuatane katika nakala zao za broshua Msikilize Mungu Uishi Milele.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr “Sehemu ya 3—Viwango vya Ufalme—Kuutafuta Uadilifu wa Mungu” na sura ya 10 ¶1-7

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 35 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki