Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Januari uku. 2
  • Januari 1-7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 1-7
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Januari uku. 2

Januari 1-7

MATHAYO 1-3

  • Wimbo 14 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ufalme wa Mbinguni Umekaribia”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Mathayo.]

    • Mt 3:1, 2—Yohana Mbatizaji alitangaza kwamba Mfalme wa wakati ujao wa Ufalme wa mbinguni alikuwa karibu kutokea (“kuhubiri,” “Ufalme,” “Ufalme wa mbinguni,” “umekaribia” habari za utafiti Mt 3:1, 2, nwtstya)

    • Mt 3:4—Yohana Mbatizaji aliishi maisha rahisi, alijitoa kikamili kufanya mapenzi ya Mungu (“Mavazi na Mwonekano wa Yohana Mbatizaji,” “Nzige,” “Asali ya Mwituni” picha Mt 3:4, nwtsty)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 1:3—Huenda ni kwa nini majina ya wanawake watano yametiwa ndani ya orodha ya ukoo wa Yesu ingawa orodha hiyo inataja wanaume hasa? (“Tamari” habari za utafiti Mt 1:3, nwtsty)

    • Mt 3:11—Tunajuaje kwamba ubatizo unahusisha kuzamishwa kabisa katika maji? (“ninawabatiza” habari za utafiti Mt 3:11, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 1:1-17

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tazama Mapendekezo ya Kuanzisha Mazungumzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) bhs 41-42 ¶6-7

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 72

  • Ripoti ya Utumishi ya Mwaka Uliopita: (Dak. 15) Hotuba itolewe na mzee. Baada ya kusoma barua kutoka kwa ofisi ya tawi kuhusu ripoti ya utumishi ya mwaka uliopita, wahoji wahubiri, uliowatayarisha mapema, ambao mwaka uliopita walipata mambo yaliyoonwa yenye kutokeza katika utumishi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 2

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 137 na Sala

a Chapisho hili halipatikani katika Kiswahili. Unaweza kupata habari za utafiti kwenye Marejeo ya Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha (mwbr) (tafuta kwenye jw.org, chini ya MACHAPISHO > MADAFTARI YA MKUTANO)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki