Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Februari uku. 2
  • Mifano Kuhusu Ufalme na Jinsi Inavyotuhusu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mifano Kuhusu Ufalme na Jinsi Inavyotuhusu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Sikiliza, Upate Maana’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Nuru Yazidi Kuongezeka
    2016 Kitabu cha Mwaka cha Mashahidi wa Yehova
  • “Hakuwa Akisema Nao Bila Mfano”
    ‘Njoo Uwe Mfuasi Wangu’
  • “Bila Kielezi Hakuwa Akisema Nao”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Februari uku. 2

MAISHA YA MKRISTO

Mifano Kuhusu Ufalme na Jinsi Inavyotuhusu

Yesu alitumia mifano rahisi kufundisha mambo mazito ya kiroho. Hata hivyo, watu wanyenyekevu tu ndio wanaojitahidi kuelewa na kutumia masomo aliyofundisha. (Mt 13:10-15) Katika kila mfano kuhusu Ufalme, jibu maswali yafuatayo: Ninaweza kunufaikaje kutokana na mfano huu? Unapaswa kuathiri maisha yangu katika njia gani?

Mbegu ya haradali, chachu, hazina, mfanyabiashara anayesafiri

UFALME WA MBINGUNI NI KAMA . . .

  • “mbegu ya haradali.”—Mt 13:31, 32; w14 12/15 8 ¶9.

  • “chachu.”—Mt 13:33; w14 12/15 9-10 ¶14-15.

  • “hazina” na “mfanyabiashara anayesafiri.”—Mt 13:44-46; w14 12/15 10 ¶18.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki