Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Februari uku. 4
  • Februari 12-18

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 12-18
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Februari uku. 4

Februari 12-18

MATHAYO 14-15

  • Wimbo 93 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Alitumia Wachache Kuwalisha Wengi”: (Dak. 10)

    • Mt 14:16, 17—Wanafunzi walikuwa na mikate mitano na samaki wawili tu (w13 7/15 15 ¶2)

    • Mt 14:18, 19—Yesu alitumia wanafunzi wake kuwalisha watu wengi (w13 7/15 15 ¶3)

    • Mt 14:20, 21—Muujiza huo wa Yesu uliwanufaisha watu wengi (“na pia wanawake na watoto wadogo” habari za utafiti Mt 14:21, nwtsty; w13 7/15 15 ¶1)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 15:7-9—Kwa nini tunapaswa kuepuka unafiki? (“wanafiki” habari za utafiti Mt 15:7, nwtsty)

    • Mt 15:26—Huenda Yesu alimaanisha nini aliposema “mbwa wadogo”? (“watoto . . . mbwa wadogo” habari za utafiti Mt 15:26, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 15:1-20

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w15 9/15 16-17 ¶14-17—Kichwa: Imarisha Imani Yako kwa Kumwiga Yesu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 135

  • Uwe Rafiki ya Yehova—Kuanzisha Urafiki: (Dak. 7) Onyesha video. Kisha, waalike jukwaani watoto uliowachagua mapema, na uwaulize maswali yafuatayo: Kwa nini unapaswa kuanzisha urafiki na watu wanaompenda Yehova? Unaweza kujifunza nini kutoka kwao?

  • “Mheshimu Baba Yako na Mama Yako”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video ya vibonzo kwenye ubao yenye kichwa Ninawezaje Kuzungumza na Wazazi Wangu?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 8

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 148 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki