Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Februari uku. 5
  • Alitumia Wachache Kuwalisha Wengi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Alitumia Wachache Kuwalisha Wengi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Aliwatumia Wachache Kuwalisha Wengi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • “Ni Nani kwa Kweli Mtumwa Mwaminifu na Mwenye Busara?”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Alisha Maelfu kwa Mikate na Samaki Wachache
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
  • Wakristo Wanalishwaje Kiroho?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Februari uku. 5
Wanafunzi wa Yesu wakilisha umati mkubwa

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 14-15

Alitumia Wachache Kuwalisha Wengi

Kabla ya Pasaka ya mwaka wa 32 W.K., Yesu alifanya muujiza. Huo ndio muujiza pekee uliorekodiwa na waandikaji wote wanne wa vitabu vya Injili.

Kupitia muujiza huo, Yesu alianzisha utaratibu ambao anaendelea kuufuata hadi katika siku zetu.

14:16-21

  • Yesu aliwaelekeza wanafunzi wake walishe umati wa watu, hata ingawa walikuwa na mikate mitano na samaki wawili tu

  • Yesu alichukua mikate na samaki, na baada ya kusali akaanza kuwagawia wanafunzi wake, na wanafunzi wake wakawagawia watu

  • Chakula kiliwatosha watu wote kimuujiza, na hata kikabaki. Yesu alilisha maelfu ya watu kupitia watu wachache, yaani, wanafunzi wake

    Yesu akiwapa mkate wanafunzi wake; gazeti la Mnara wa Mlinzi
  • Yesu alitabiri kwamba katika siku za mwisho, angeandaa njia ya kutoa “chakula [cha kiroho] kwa wakati unaofaa.”—Mt 24:45

  • Mwaka wa 1919, Yesu alimweka rasmi “mtumwa mwaminifu na mwenye busara,” kikundi kidogo cha ndugu watiwa-mafuta, wasimamie “watumishi wake wa nyumbani,” yaani, wale wanaolishwa

  • Kwa kutumia kikundi hicho kidogo cha ndugu watiwa-mafuta, Yesu anafuata utaratibu alioanzisha katika karne ya kwanza

Ninaweza kuonyeshaje kwamba ninatambua na kuheshimu njia ambayo Yesu anatumia kuwalisha watu kiroho?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki