Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Januari uku. 3
  • Januari 14-20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 14-20
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Januari uku. 3

Januari 14-20

MATENDO 23-24

  • Wimbo 148 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ashtakiwa Kuwa Msumbufu na Kuchochea Uasi”: (Dak. 10)

    • Mdo 23:12, 16—Njama ya kumuua Paulo haikufanikiwa (bt 191 ¶5-6)

    • Mdo 24:2, 5, 6—Msemaji wa hadharani aliyeitwa Tertulo alimshtaki Paulo mbele ya gavana Mroma (bt 192 ¶10)

    • Mdo 24:10-21—Kwa heshima, Paulo alikana mashtaka hayo na kutoa ushahidi kwa ujasiri (bt 193-194 ¶13-14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 23:6—Kwa nini Paulo alisema yeye ni Farisayo? (“mimi ni Farisayo” habari za utafiti Mdo 23:6, nwtsty)

    • Mdo 24:24, 27—Drusila alikuwa nani? (“Drusila” habari za utafiti Mdo 24:24, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 23:1-15 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 77

  • Ripoti ya Utumishi ya Kila Mwaka: (Dak. 15) Hotuba itolewe na mzee. Baada ya kusoma tangazo kutoka kwenye ofisi ya tawi kuhusu ripoti ya utumishi ya kila mwaka, wahoji wahubiri waliotayarishwa mapema ambao walijionea mambo yenye kutia moyo katika huduma mwaka uliopita.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 50

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 128 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki