Januari 21-27
Matendo 25-26
Wimbo 73 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Paulo Akata Rufaa kwa Kaisari Kisha Amtolea Ushahidi Mfalme Herode Agripa”: (Dak. 10)
Mdo 25:11—Paulo alitumia haki yake ya kisheria na kukata rufaa kwa Kaisari (bt 198 ¶6)
Mdo 26:1-3—Paulo alijitetea kwa ustadi mbele ya Mfalme Herode Agripa (bt 198-201 ¶10-16)
Mdo 26:28—Maneno ya Paulo yalimwathiri sana mfalme (bt 202 ¶18)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Mdo 26:14—Mchokoo ni nini? (“kuipiga teke michokoo” habari za utafiti Mdo 26:14, nwtsty; “Mchokoo,” nwt kamusi)
Mdo 26:27—Mfalme Agripa alikabili utata gani Paulo alipomuuliza ikiwa aliamini manabii? (w03 11/15 16-17 ¶14)
Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?
Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 25:1-12 (th somo la 5)
BORESHA HUDUMA YAKO
Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.
Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)
Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 4) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa kitabu Biblia Inatufundisha. (th somo la 3)
MAISHA YA MKRISTO
“Kukubaliwa Kisheria kwa Kazi ya Kuhubiri Katika Jiji la Quebec”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 51
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 122 na Sala