Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Januari uku. 4
  • Paulo Akata Rufaa kwa Kaisari Kisha Amtolea Ushahidi Mfalme Herode Agripa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Paulo Akata Rufaa kwa Kaisari Kisha Amtolea Ushahidi Mfalme Herode Agripa
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Ashtakiwa Kuwa Msumbufu na Kuchochea Uasi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Januari uku. 4
Paulo akiwa amesimama mbele ya Mfalme Herode Agripa na kumtolea ushahidi

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATENDO 25-26

Paulo Akata Rufaa kwa Kaisari Kisha Amtolea Ushahidi Mfalme Herode Agripa

25:11; 26:1-3, 28

Ingawa hatuhitaji kuhangaikia tutakayosema “[tutakapopelekwa] mbele ya magavana na wafalme,” tunapaswa “[kuwa] tayari kujitetea” mbele ya kila mtu anayetuuliza sababu ya tumaini tulilo nalo. (Mt 10:18-20; 1Pe 3:15) Wapinzani wanapojaribu “[kutunga] matatizo kwa kutumia sheria,” tunawezaje kuiga mfano wa Paulo?—Zb 94:20.

  • Tunatumia maandalizi ya kisheria yanayopatikana ili kutetea habari njema.—Mdo 25:11

  • Tunazungumza kwa heshima na wenye mamlaka.—Mdo 26:2, 3

  • Ikiwezekana, tunawaeleza jinsi habari njema zimetunufaisha sisi na wengine.—Mdo 26:11-20

Dada akiwa amesimama mbele ya hakimu na kumtolea ushahidi

Je, umetafakari jinsi unavyoweza kuwajibu wale wanaotaka ueleze msingi wa imani yako?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki