Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Januari uku. 3
  • Ashtakiwa Kuwa Msumbufu na Kuchochea Uasi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ashtakiwa Kuwa Msumbufu na Kuchochea Uasi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Paulo Akata Rufaa kwa Kaisari Kisha Amtolea Ushahidi Mfalme Herode Agripa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Januari uku. 3
Mpwa wa Paulo akizungumza na kamanda wa jeshi

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATENDO 23-24

Ashtakiwa Kuwa Msumbufu na Kuchochea Uasi

23:12, 16; 24:2, 5, 6, 10-21

Wayahudi jijini Yerusalemu “[walijifunga] kwa kiapo cha laana” kusudi wamuue Paulo. (Mdo 23:12) Hata hivyo, mapenzi ya Yehova yalikuwa kwamba Paulo aende Roma kutoa ushahidi. (Mdo 23:11) Mpwa wa Paulo alisikia kuhusu njama hiyo naye akaripoti kuihusu na hivyo kuzuia Paulo asife mapema. (Mdo 23:16) Simulizi hili linakufundisha nini kuhusu . . .

  • jaribio lolote la kuzuia kusudi la Mungu?

  • njia ambayo Mungu anaweza kutumia kutusaidia?

  • ujasiri?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki