Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Februari uku. 4
  • Februari 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Februari uku. 4

Februari 11-17

WAROMA 4-6

  • Wimbo 20 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mungu Hupendekeza Upendo Wake Kwetu”: (Dak. 10)

    • Ro 5:8, 12—Yehova alitupenda “tulipokuwa bado watenda dhambi” (w11 6/15 12 ¶5)

    • Ro 5:13, 14—Dhambi na kifo vimetawala vikiwa mfalme (w11 6/15 12 ¶6)

    • Ro 5:18, 21—Yehova alimtuma Mwanawe ili tupate uhai (w11 6/15 13 ¶9-10)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ro 6:3-5—Ni nini kinachomaanishwa na ubatizo “katika Kristo Yesu” na ubatizo “katika kifo chake”? (w08 6/15 29 ¶7)

    • Ro 6:7—Kwa nini watakaofufuliwa hawatahukumiwa kwa msingi wa dhambi walizofanya kabla ya kufa? (w14 6/1 11 ¶1)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ro 4:1-15 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha utoe chapisho katika Sanduku Letu la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 9)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 107

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 54

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 97 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki