Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Septemba uku. 2
  • Septemba 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Septemba uku. 2

Septemba 2-8

WAEBRANIA 7-8

  • Wimbo 16 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kuhani Milele kwa Mfano wa Melkizedeki”: (Dak. 10)

    • Ebr 7:1, 2—Melkizedeki ambaye alikuwa mfalme na kuhani, alikutana na Abrahamu na akambariki (it-2 366)a

    • Ebr 7:3—Melkizedeki hakuwa na “ukoo” na “anadumu akiwa kuhani daima” (it-2 367 ¶4)

    • Ebr 7:17—Yesu ni “kuhani milele kwa mfano wa Melkizedeki” (it-2 366)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ebr 8:3—Zawadi zilizotolewa chini ya Sheria ya Musa zilitofautianaje na dhabihu? (w00 8/15 14 ¶11)

    • Ebr 8:13—Agano la Sheria lilifanywaje “lichakae” katika siku za Yeremia? (it-1 523 ¶5)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ebr 7:1-17 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kutumia Picha na Video Vizuri, kisha mzungumzie somo la 9 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) it-1 524 ¶3-5​—Kichwa: Agano jipya ni nini? (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 124

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 15) Onyesha video ya Septemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo. Watie moyo wote watembelee makao makuu ya ulimwenguni pote au ofisi ya tawi ya eneo lao ikiwa wanaweza.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 82

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 83 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: it = Insight On the Scriptures; w = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; cf = Njoo Uwe Mfuasi Wangu; wp = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Watu Wote; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu; g = Amkeni!; bhs = Biblia Inatufundisha Nini?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki