Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Januari uku. 5
  • Januari 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Januari uku. 5

Januari 20-26

MWANZO 6-8

  • Wimbo 89 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Hivyo Ndivyo Alivyofanya”: (Dak. 10)

    • Mwa 6:9, 13—Noa mwadilifu alizungukwa na uovu (w18.02 4 ¶4)

    • Mwa 6:14-16—Noa alipewa mgawo mgumu (w13 4/1 14 ¶1)

    • Mwa 6:22—Noa alionyesha imani kwa Yehova (w11 9/15 18 ¶13)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Mwa 7:2—Ni nini hasa kilichotofautisha kati ya wanyama safi na wasio safi? (w04 1/1 29 ¶7)

    • Mwa 7:11—Huenda maji yaliyosababisha Gharika duniani pote yalitoka wapi? (w04 1/1 30 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mwa 6:1-16 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Mazungumzo. Onyesha video, kisha uwaulize wasikilizaji maswali yafuatayo: Mhubiri alizungumziaje andiko la 1 Yohana 4:8 pamoja na mwenye-nyumba? Wahubiri walishirikianaje kutoa ushahidi?

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 4) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 12)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha, mpatie chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 31

  • Ibada ya Familia: Noa—Alitembea Pamoja na Mungu: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha mzungumzie maswali yafuatayo: Wazazi katika video hiyo walitumiaje simulizi la Noa kuwafundisha watoto wao masomo muhimu? Uliona mambo gani ambayo mnaweza kutumia katika ibada yenu ya familia?

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 100

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 37 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki