Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Januari uku. 5
  • “Hivyo Ndivyo Alivyofanya”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Hivyo Ndivyo Alivyofanya”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • “Alitembea Pamoja na Mungu wa Kweli”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • “Alitembea Pamoja na Mungu wa Kweli”
    Igeni Imani Yao
  • Noa Auhukumu Ulimwengu kwa Imani Yake
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • Alilindwa Akiwa “Salama Pamoja na Wengine Saba”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Januari uku. 5
Noa na mwanaye wakijenga safina; mwanaye anapaka safina lami akiwa amesimama juu ya jukwaa la kujengea.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 6-8

“Hivyo Ndivyo Alivyofanya”

6:9, 13-16, 22

Wazia jinsi Noa na familia yake walivyotumia jitihada nyingi kujenga safina bila vifaa na mbinu za kisasa za ujenzi.

  • Safina ilikuwa kubwa sana—urefu wa mita 133, upana wa mita 22, na kimo cha mita 13 hivi

  • Walihitaji kukata miti, kuichonga, na kuibeba

  • Walipaswa kufunika upande wa nje na wa ndani wa safina kwa lami

  • Walihitaji kuweka akiba ya chakula cha mwaka mzima kwa ajili ya familia ya Noa na wanyama

  • Huenda mradi huo ulichukua miaka 40 hadi 50 ili kukamilika

Simulizi hili linaweza kututiaje moyo tunapoona ni vigumu kufanya mambo ambayo Yehova anatuambia tufanye?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki