Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Juni uku. 6
  • “Nitakuwa Kile Ninachochagua Kuwa”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Nitakuwa Kile Ninachochagua Kuwa”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Kujua Jina la Mungu Kunahusisha Nini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Mwanamume na Mwanamke Wameumbwa Ili Wakamilishane
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • “Tazama! Huyu Ni Mungu Wetu”
    Mkaribie Yehova
  • Akina Ndugu Vijana​—⁠Mnawezaje Kuwa Wakristo Wakomavu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Juni uku. 6
Musa akiwa amepiga magoti na kufunika uso wake mbele ya kichaka kinachowaka moto.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 1-3

“Nitakuwa Kile Ninachochagua Kuwa”

3:13, 14

Yehova alimfunulia Musa sehemu muhimu ya utu wake. Bila kuvunja viwango vyake vikamilifu, Yehova huwa chochote anachohitaji kuwa katika kila hali ili kutimiza mapenzi yake. Kama tu mzazi wa kibinadamu, Yehova huwa chochote anachohitajika kuwa ili kuwatunza watoto wake.

Yehova amekuwaje kile anachochagua kuwa ili kutimiza mahitaji yangu?

Picha: Baba akiitunza familia yake katika njia mbalimbali. 1. Anazungumza na mwana wake kabla ya kulala. 2. Anasoma andiko la siku pamoja na mke wake na mwana wake. 3. Anamfundisha mwana wake jinsi ya kuendesha baiskeli.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki