Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Juni uku. 7
  • Juni 29–Julai 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 29–Julai 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Juni uku. 7

Juni 29–Julai 5

KUTOKA 4-5

  • Wimbo 3 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Nitakuwa Pamoja Nawe Utakapokuwa Ukizungumza”: (Dak. 10)

    • Kut 4:10, 13—Musa alihisi hakuwa na uwezo wa kutimiza mgawo wake (w10 10/15 13-14)

    • Kut 4:11, 12—Yehova alimhakikishia kwamba atamsaidia (w14 4/15 9 ¶5-6)

    • Kut 4:14, 15—Yehova alimweka rasmi Haruni amsaidie Musa (w10 10/15 14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 4:24-26—Huenda ni sababu gani iliyomfanya Sipora amwite Yehova “bwana harusi wa damu”? (w04 3/15 28 ¶4)

    • Kut 5:2—Ni katika maana gani Farao hakumjua Yehova? (it-2 12 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 4:1-17 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwalike kwenye mikutano yetu. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho la funzo. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 100 ¶15-16 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 61

  • “Jinsi ya Kutumia Mapendekezo ya Kuanzisha Mazungumzo”: (Dak. 5) Mazungumzo.

  • “Unaweza Kuhubiri na Kufundisha!”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Uwe Jasiri Ukiwa . . . Mhubiri.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 121

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 73 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki