Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 6
  • Julai 27–Agosti 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 27–Agosti 2
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 6

Julai 27–Agosti 2

KUTOKA 12

  • Wimbo 20 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Pasaka—Inawahusuje Wakristo?”: (Dak. 10)

    • Kut 12:5-7—Umuhimu wa mwanakondoo wa Pasaka (w07 1/1 20 ¶4)

    • Kut 12:12, 13—Umuhimu wa damu kwenye miimo ya mlango (it-2 583 ¶6)

    • Kut 12:24-27—Somo muhimu tunalojifunza kutokana na Pasaka (w13 12/15 20 ¶13-14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Kut 12:12—“Mapigo kumi yaliyowapata Wamisri, na hasa pigo la kumi, yalikuwaje hukumu dhidi ya miungu yao ya uwongo?” (it-2 582 ¶2)

    • Kut 12:14-16—Kulikuwa na jambo gani la pekee kuhusu Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu, ambalo pia lilikuwepo katika sherehe nyingine, na Waisraeli walinufaikaje kutokana na jambo hilo? (it-1 504 ¶1)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Kut 12:1-20 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa gazeti la karibuni kuhusu habari iliyozungumziwa. (th somo la 6)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 16 ¶21-22 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 38

  • “Yehova Huwalinda Watu Wake”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kutembelea Maonyesho ya Warwick: “Watu kwa Ajili ya Jina la Yehova.”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 125

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 129 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki