Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 5
  • Uumbaji Unatufundisha Nini Kuhusu Ujasiri?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uumbaji Unatufundisha Nini Kuhusu Ujasiri?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • “Uwe Hodari . . . Nawe Utende”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Kuwa Jasiri Si Vigumu Sana
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • “Uwe Hodari na Mwenye Nguvu Sana”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Mwe Wenye Moyo Mkuu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 5
Baba na mwana wake wakisimama kando ya ziwa na kutazama milima iliyo mbali.

MAISHA YA MKRISTO

Uumbaji Unatufundisha Nini Kuhusu Ujasiri?

Yehova anatufundisha jinsi ya kuonyesha sifa kama za Mungu kupitia mifano ya wanaume na wanawake walio katika Biblia. Hata hivyo, uumbaji pia unatufundisha masomo muhimu. (Ayu 12:7, 8) Tunaweza kujifunza nini kuhusu ujasiri kutokana na simba, farasi, nguchiro, ndege wavumaji, na tembo?

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA JIFUNZE UJASIRI KUTOKA KWA UUMBAJI, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Simba-jike na watoto wake wakinywa maji kwenye kidimbwi.

    Simba-jike huonyeshaje ujasiri wanapowalinda watoto wao?

  • Farasi wakikimbia uwanjani.

    Farasi huzoezwaje kuwa jasiri kwa ajili ya vita?

  • Nguchiro akikabiliana na swila.

    Kwa nini nguchiro hawaogopi nyoka wenye sumu?

  • Ndege mvumaji akikabiliana na ndege mwingine mvumaji ili kulinda eneo lake.

    Ndege wadogo wavumaji huonyeshaje ujasiri?

  • Kundi la tembo wakisafiri pamoja.

    Tembo huwalindaje tembo wengine kwa ujasiri?

  • Wanyama hao wanakufundisha nini kuhusu ujasiri?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki