Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Julai uku. 16
  • Kuwa Jasiri Si Vigumu Sana

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuwa Jasiri Si Vigumu Sana
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • “Uwe Hodari . . . Nawe Utende”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Mwe Wenye Moyo Mkuu!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • “Uwe Hodari na Mwenye Nguvu Sana”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Nipe Ujasiri
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Julai uku. 16
Dada kijana akimhubiria mwanafunzi mwenzake kwa ujasiri akitumia simu ya mkononi.

MAISHA YA MKRISTO

Kuwa Jasiri Si Vigumu Sana

Ujasiri ni sifa ya kuwa mwenye nguvu, hodari, na shujaa. Kuwa jasiri hakumaanishi kwamba huwezi kamwe kuogopa. Badala yake, kunamaanisha kuchukua hatua fulani licha ya woga wetu. Yehova ndiye chanzo cha ujasiri wa kweli. (Zb 28:7) Vijana wanaweza kuonyeshaje ujasiri?

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA WAIGE SI WAOGA, BALI WENYE UJASIRI! KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Vijana hukabili hali gani zinazohitaji kuonyesha ujasiri?

  • Ni masimulizi gani ya Biblia yanayotuchochea kuonyesha ujasiri?

  • Kuna manufaa gani kwetu na kwa watu wanaotutazama tunapoonyesha ujasiri?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki