Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Novemba uku. 6
  • Novemba 30–Desemba 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 30–Desemba 6
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Novemba uku. 6

Novemba 30–Desemba 6

MAMBO YA WALAWI 8-9

  • Wimbo 16 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Uthibitisho wa Baraka za Yehova”: (Dak. 10)

    • Law 8:6-9, 12—Musa aliweka rasmi makuhani (it-1 1207)

    • Law 9:1-5—Taifa lilikuwepo makuhani walipotoa dhabihu za kwanza za wanyama (it-1 1208 ¶8)

    • Law 9:23, 24—Yehova alionyesha anaukubali ukuhani (w19.11 23 ¶13)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 8:6—Tunaweza kujifunza nini kutokana na takwa la kwamba makuhani wa Israeli walipaswa kuwa safi kimwili? (w14 11/15 9 ¶6)

    • Law 8:14-17—Wakati wa kuwekwa rasmi kwa ukuhani, kwa nini Musa ndiye aliyetoa dhabihu na si Haruni? (it-2 437 ¶3)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova Mungu, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 8:31–9:7 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha taja jambo hususa kutoka katika toleo la watu wote la Mnara wa Mlinzi Na. 2 2020, na utoe gazeti hilo. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwelekeze mwenye-nyumba kwenye tovuti yetu, na umwachie kadi ya mawasiliano. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 84 ¶6-7 (th somo la 11)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 58

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kuhubiri Kupitia Simu”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mwangalizi wa utumishi. Onyesha video kisha mzungumze kuihusu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) rr sura ya 1 ¶8-14, sanduku 1A

  • Umalizio (Usizidi dak. 3)

  • Wimbo 40 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki