Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Mei uku. 15
  • “Upendo . . . Haujivuni”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Upendo . . . Haujivuni”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • “Endeleeni Kutembea Katika Upendo”
    Mkaribie Yehova
  • Upendo katika Matendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
  • Upendo (Agape)—Usivyo na Ulivyo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Upendo
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Mei uku. 15
Picha: 1. Ndugu akisali kabla ya kuanza kusoma Biblia. 2. Anafanya usafi kwenye Jumba la Ufalme. 3. Yeye na mke wake wanatembelea dada mwenye umri mkubwa hospitalini.

MAISHA YA MKRISTO

“Upendo . . . Haujivuni”

Upendo hutusaidia kuonyesha unyenyekevu. (1Ko 13:4) Tunapowapenda ndugu zetu hatujioni kuwa bora kuliko wao. Tunaona sifa nzuri za wengine na kutumia uwezo wetu kuwasaidia. (Flp 2:3, 4) Kadiri tunavyoonyesha upendo kama huo, ndivyo Yehova atatutumia kufanya mapenzi yake.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA KUMBUKA JINSI UPENDO ULIVYO​—HAUJIVUNI, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Absalomu alikuwa na sifa zipi?

  • Alitumiaje sifa zake vibaya?

  • Tunaweza kuepukaje majivuno?​—Ga 5:26

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki