Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Julai uku. 14
  • Agosti 29–Septemba 4

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Agosti 29–Septemba 4
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Julai uku. 14

Agosti 29-Septemba 4

1 WAFALME 8

  • Wimbo 41 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Sala ya Sulemani ya Kutoka Moyoni na ya Unyenyekevu”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Fa 8:27​—Maneno ya Sulemani yanamaanisha nini? (it-1 1060 ¶4)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Fa 8:31-43 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha utoe broshua Furahia Maisha Milele! na utoe utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? (lakini usionyeshe video). (th somo la 15)

  • Hotuba: (Dak. 5) km 5/10 2​—Kichwa: Wahudumu Wakristo Wanahitaji Kusali. (th somo la 14)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 44

  • “Je, Unatafuta Majibu ya Sala Zako?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Yehova Ndiye “Msikiaji wa Sala.”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 18 jambo kuu 1-5

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 107 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki