Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 6
  • Septemba 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 6

Septemba 19-25

1 WAFALME 13-14

  • Wimbo 21 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kwa Nini Uridhike na Uwe Mwenye Kiasi?”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Fa 14:13​—Mstari huu unatufundisha nini kumhusu Yehova? (w10 7/1 29 ¶5)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Fa 13:1-10 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo kwa ajili ya kampeni ya kuanzisha mafunzo ya Biblia. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 7)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Endeleza funzo la Biblia lililoanzishwa kwenye ziara ya kwanza, kwa kutumia somo la 01 la broshua Furahia Maisha Milele! (th somo la 9)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 07 jambo kuu la 5 (th somo la 19)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 118

  • “Kabiliana na Matatizo ya Kiuchumi kwa Uhakika”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Jenga Nyumba Itakayodumu​—‘Ridhika na Vitu vya Sasa.’

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 19 jambo kuu la 5-6, muhtasari, ungejibuje, na lengo

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 56 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki