Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 6
  • Kwa Nini Uridhike na Uwe Mwenye Kiasi?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kwa Nini Uridhike na Uwe Mwenye Kiasi?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • “Mara Moja Nikasali”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Jinsi ya Kupokea Baraka za Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Biblia—Kitabu cha Mambo Hakika, Si Hadithi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • B8 Hekalu Lililojengwa na Sulemani
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Kwa Nini Uridhike na Uwe Mwenye Kiasi?

Nabii wa Mungu alikataa zawadi za Yeroboamu (1Fa 13:7-10; w08 8/15 8 ¶4)

Baadaye nabii wa Mungu alikosa kutii amri ya moja kwa moja kutoka kwa Yehova (1Fa 13:14-19; w08 8/15 11 ¶15)

Kukosa kutii kwa nabii huyo kulimletea msiba (1Fa 13:20-22; w08 8/15 9 ¶10)

Wazazi wakizungumzia hali yao ya kiuchumi huku watoto wakicheza nje ya nyumba.

Tukiridhika na kumtegemea Yehova tunapofanya maamuzi, tunaweza kuepuka matatizo mengi yasiyoonekana.​—1Ti 6:8-10.

JIULIZE: ‘Ninaweza kuonyeshaje kwamba nimeridhika na mahitaji ya msingi maishani? Ninaweza kuonyeshaje kiasi ninapofanya maamuzi?’—Met 3:5; 11:2.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki