Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Januari uku. 10
  • Jinsi ya Kupokea Baraka za Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jinsi ya Kupokea Baraka za Yehova
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Amewatenga Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Kwa Nini Uridhike na Uwe Mwenye Kiasi?
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Sheria
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Sherehe Zilizo na Maana Kwetu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Januari uku. 10

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Jinsi ya Kupokea Baraka za Yehova

Usiabudu miungu ya ubatili (Law 26:1; w08 4/15 4 ¶8)

Mwabudu Yehova kama anavyoagiza (Law 26:2; it-1 223 ¶3)

Tii amri zake (Law 26:3, 12; w91 3/1 17 ¶10)

Waisraeli ambao walijaribu kutii sheria za Yehova kwa uaminifu walifurahia amani pamoja naye na walipata baraka nyingine nyingi.

Wenzi wa ndoa wakifurahia utumishi wa hadharani huku watu wengine wakifanya manunuzi na na wengine wanaendesha magari yenye gharama kubwa.

Ni mambo gani kati ya yaliyoorodheshwa unayofurahia sasa kwa sababu ya baraka za Yehova?

  • Ujuzi sahihi wa Biblia

  • Amani ya akili

  • Maisha ya familia yenye furaha

  • Tumaini la wakati ujao

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki