Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Januari uku. 10
  • Februari 1-7

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 1-7
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Januari uku. 10

Februari 1-7

MAMBO YA WALAWI 26-27

  • Wimbo 89 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jinsi ya Kupokea Baraka za Yehova”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • Law 26:16​—Yehova alitumia magonjwa kuwaadhibu Waisraeli kwa msingi gani? (it-2 617)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Law 26:18-33 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwachie kadi ya mawasiliano ya jw.org. (th somo la 11)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 6)

  • Hotuba: (Dak. 5) w09 8/1 30—Kichwa: Ninapaswa Kutoa Kiasi Gani cha Pesa? (th somo la 16)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 40

  • “Chagua Kumtumikia Yehova”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Barabara Inayoongoza Kwenye Ubatizo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) rr sura ya 4 ¶1-9, video ya utangulizi, sanduku 4A

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 2 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki