Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Januari uku. 4
  • Yehova Amewatenga Watu Wake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Amewatenga Watu Wake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi ya Kupokea Baraka za Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yehova Aliwapigania Waisraeli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yehova Agawa Nchi kwa Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Linda Urithi Wako Wenye Thamani
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Januari uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yehova Amewatenga Watu Wake

Lazima tutii sheria zote za Yehova (Law 20:22, 23; w04 10/15 11 ¶12)

Yehova anaahidi kuwapa watu wake urithi (Law 20:24; it-1 1199)

Yehova anatazamia ibada safi kutoka kwa watu wake (Law 20:25, 26; it-1 317 ¶2)

Yehova anawabariki wale wanaodumisha uhusiano mzuri pamoja naye. Ili tuendelee kuwa na kibali chake tunapaswa kuendelea kujitenga na ulimwengu huu na mazoea yake machafu.

Mshiriki wa Halmashauri ya Uhusiano na Hospitali akimpatia daktari broshua yenye habari za umma.

JIULIZE, ‘Ni matibabu gani yasiyompendeza Mungu ninayopaswa kuepuka?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki