Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Septemba uku. 14
  • Linda Urithi Wako Wenye Thamani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Linda Urithi Wako Wenye Thamani
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Agawa Nchi kwa Hekima
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yehova Aliwapigania Waisraeli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yoshua Alihimiza Taifa kwa Mara ya Mwisho
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Je! Wewe Unathamini Urithi Wako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Septemba uku. 14

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Linda Urithi Wako Wenye Thamani

Kalebu alilinda urithi wake kwa kuwafukuza maadui wenye nguvu (Yos 15:14; it-1 1083 ¶3)

Si Waisraeli wote waliolinda urithi wao dhidi ya watu ambao hawakumwabudu Yehova (Yos 16:10; it-1 848)

Yehova aliwasaidia wale ambao kwa kweli walitaka kulinda urithi wao (Kum 20:1-4; Yos 17:17, 18; it-1 402 ¶3)

Yehova yuko tayari kuwapa Wakristo wote urithi wenye thamani wa uzima wa milele. Ili kulinda urithi wetu, tunajiimarisha dhidi ya vishawishi kwa kujifunza Biblia, kuhudhuria mikutano ya Kikristo, kushiriki katika utumishi wa shambani, na kutoa sala.

Baba akiwa na mke wake na watoto akiongoza ibada ya familia.

JIULIZE, ‘Je, ninaulinda urithi wangu?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki