Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Novemba uku. 2
  • Yehova Agawa Nchi kwa Hekima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Agawa Nchi kwa Hekima
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Aliwapigania Waisraeli
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Linda Urithi Wako Wenye Thamani
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yoshua Alihimiza Taifa kwa Mara ya Mwisho
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Yehova Amewatenga Watu Wake
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Novemba uku. 2
Picha: 1. Yakobo akiwatolea wana wake unabii alipokuwa akikaribia kufa. 2. Ramani ya Nchi ya Ahadi ikionyesha jinsi ardhi ilivyogawanywa kati ya makabila 12 ya Israeli.

Yakobo akiwatolea wana wake unabii

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yehova Agawa Nchi kwa Hekima

Yehova alitoa mwongozo kupitia kura, huenda ili kuonyesha upande ambao urithi wa kila kabila ungekuwa (Yos 18:10; it-1 359 ¶1)

Yehova alihakikisha kwamba unabii ambao Yakobo alitoa alipokuwa akikaribia kufa ulitimizwa (Yos 19:1; it-1 1200 ¶1)

Yehova aliwaruhusu watu waamue ukubwa wa eneo ambalo kila kabila lingemiliki (Yos 19:9; it-1 359 ¶2)

Ardhi iligawanywa katika njia ambayo ingezuia makabila yasioneane wivu au kubishana. Hilo linakufanya uhisije kuhusu jinsi Yehova atakavyoelekeza mambo katika ulimwengu mpya?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki