Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Januari uku. 4
  • Januari 16-22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 16-22
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Januari uku. 4

Januari 16-22

1 MAMBO YA NYAKATI 1-3

  • Wimbo 96 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Biblia​—Kitabu cha Mambo Hakika, Si Hadithi”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 1Nya 3:1-3​—Kwa nini pindi fulani wanawake walitiwa ndani ya orodha ya majina ya ukoo? (it-1 911 ¶3-4)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 1Nya 1:43-54 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa gazeti linalopatana na habari ambayo mwenye nyumba ametokeza. (th somo la 4)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Anza kwa kutumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 1)

  • Funzo la Biblia: (Dak. 5) lff somo la 08 jambo kuu la 7 na Watu Fulani Husema (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 98

  • “Imarisha Imani Yako Katika Neno la Mungu”: (Dak. 15) Mazungumzo na video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 34

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 89 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki