Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 6
  • Mei 15-21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 15-21
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 6

Mei 15-21

2 MAMBO YA NYAKATI 22-24

  • Wimbo 73 na Sala

  • Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Huwathawabisha Watu Wanaotenda kwa Ujasiri”: (Dak. 10)

  • Hazina za Kiroho: (Dak. 10)

    • 2Nya 24:22—Ombi la kinabii ambalo Zekaria alitoa lilitimizwaje? (it-2 1223 ¶13)

    • Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) 2Nya 22:1-12 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Dak. 3) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho kutoka kwenye Sanduku la Vifaa vya Kufundishia. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kurudia: (Dak. 4) Tumia habari iliyo kwenye pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike kwenye mikutano. (th somo la 17)

  • Hotuba: (Dak. 5) w10 2/15 6-8 ¶6-10—Kichwa: Roho ya Yehova Itakusaidia Kuwa Jasiri. (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 55

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) lff somo la 45 jambo kuu la 4 muhtasari, ungejibuje, na lengo

  • Umalizio (Dak. 3)

  • Wimbo 37 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki