Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Novemba uku. 3
  • Novemba 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Novemba uku. 3

NOVEMBA 11-17

ZABURI 106

Wimbo 36 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. “Walimsahau Mungu Mwokozi Wao”

(Dak. 10)

Waisraeli walipoogopa walimwasi Yehova (Kut 14:​11, 12; Zb 106:​7-9)

Waisraeli walipokuwa na njaa na kiu, walimnung’unikia Yehova (Kut 15:24; 16:​3, 8; 17:​2, 3; Zb 106:​13, 14)

Waisraeli walipokuwa na wasiwasi, walianza kuabudu sanamu (Kut 32:1; Zb 106:​19-21; w18.07 20 ¶13)

Dada akiwa karibu kushiriki katika huduma anakumbuka jinsi Yehova alivyomsaidia wakati uliopita. Picha: 1. Akifanyiwa ziara ya uchungaji. 2. Akipokea mfuko ulio na bidhaa mbalimbali. 3. Akipokea barua na picha kutoka kwa rafiki.

JAMBO LA KUTAFAKARI: Tunapokabili matatizo, kuna manufaa gani ya kukumbuka njia hususa ambazo Yehova alitusaidia wakati uliopita?

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 106:​36, 37—Kuna uhusiano gani kati ya ibada ya sanamu na dhabihu zinazotolewa kwa roho waovu? (w06 7/15 13 ¶9)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 106:​21-48 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Fundisha kwa Njia Rahisi—Yesu Alifanya Nini

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 11 jambo kuu la 1-2.

5. Fundisha kwa Njia Rahisi—Mwige Yesu

(Dak. 8) Mazungumzo yakitegemea lmd somo la 11 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 78

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

7. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 18 ¶1-5, sanduku uk. 142, 144

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 77 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki