Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Novemba kur. 6-7
  • Novemba 25–Desemba 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 25–Desemba 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Novemba kur. 6-7

NOVEMBA 25–DESEMBA 1

ZABURI 109-112

Wimbo 14 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Muunge Mkono Yesu, Mfalme!

(Dak. 10)

Yesu alipopanda kwenda mbinguni, aliketi kwenye mkono wa kuume wa Yehova (Zb 110:1; w06 9/1 13 ¶6)

Mwaka wa 1914, Yesu alianza kuwatiisha maadui wake (Zb 110:2; w00 4/1 18 ¶3)

Tunaweza kujitoa kwa hiari ili kuunga mkono utawala wa Yesu (Zb 110:3; be 76 ¶2)

Picha: Ndugu kijana akiunga mkono utawala wa Yesu. 1. Anasaidia kutunza maikrofoni wakati wa mkutano wa kutaniko. 2. Anamsaidia dada mwenye umri mkubwa ambaye yuko katika kiti cha magurudumu. 3. Anafanya funzo la kibinafsi la Biblia. 4. Anapokea mazoezi ya mgawo wa kutaniko kutoka kwa ndugu mwingine.

JIULIZE, ‘Ninaweza kujiwekea miradi gani ili kuonyesha kwamba ninaunga mkono Ufalme?’

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 110:4—Fafanua agano linalotajwa katika mstari huu. (it-1 524 ¶2)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 109:​1-26 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 2) NYUMBA KWA NYUMBA. Tumia trakti kuanzisha mazungumzo. (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)

5. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Onyesho. ijwfq 23—Kichwa: Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Hawaendi Vitani? (lmd somo la 4 jambo kuu la 4)

6. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 5) lff somo la 15 jambo kuu la 6 na Watu Fulani Husema (lmd somo la 11 jambo kuu la 3)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 72

7. Tunawezaje Kuunga Mkono Ufalme kwa Ushikamanifu?

(Dak. 15) Mazungumzo.

Picha kutoka kwenye video “Muunge Mkono kwa Ushikamanifu ‘Mkuu wa Amani.’ ” Ndugu wawili katika huduma wakizungumza na mwanamke kwenye bandari ya wavuvi.

Njia moja ambayo Yehova ameonyesha kwamba yeye ndiye mwenye enzi kuu ya ulimwengu wote ni kwa kusimamisha Ufalme wake. (Da 2:​44, 45) Hivyo, tunapounga mkono Ufalme wa Mungu, tunatetea enzi kuu ya Yehova.

Onyesha VIDEO Muunge Mkono kwa Ushikamanifu “Mkuu wa Amani.” Kisha waulize wasikilizaji:

  • Tunaonyeshaje kwamba tunaunga mkono kwa ushikamanifu Ufalme wa Mungu?

Andika mstari wa Biblia unaopatana na njia zifuatazo za kuunga mkono Ufalme wa Mungu.

  • Tunapaswa kufanya Ufalme kuwa jambo muhimu zaidi maishani mwetu.

  • Tunapaswa kuishi kupatana na viwango vya maadili kwa ajili ya raia wa Ufalme.

  • Tunapaswa kuwaeleza wengine kuhusu Ufalme kwa bidii.

  • Tunapaswa kuheshimu serikali za wanadamu, lakini tumtii Mungu sheria ya Kaisari inapopingana na sheria ya Mungu.

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 18 ¶16-24

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 75 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki