Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Novemba uku. 8
  • Desemba 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Novemba uku. 8

DESEMBA 2-8

ZABURI 113-118

Wimbo 127 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Tutamlipa Yehova Nini?

(Dak. 10)

Yehova hutulinda, anatutendea kwa fadhili, na kutuokoa (Zb 116:​6-8; w01 1/1 11 ¶13)

Tunaweza kumlipa Yehova kwa kuishi kwa njia inayopatana na sheria na kanuni zake (Zb 116:​12, 14; w09 7/15 29 ¶4-5)

Tunaweza kumlipa Yehova kwa kumtolea “dhabihu ya shukrani” (Zb 116:17; w19.11 22-23 ¶9-11)

Wenzi wa ndoa wakitazama mbele kwa uhakika. Picha: Picha zinazotofautisha jinsi wangeweza kutumia wakati wao. 1. Wakitazama programu ya televisheni yenye mambo yasiyofaa; wakijifunza pamoja. 2. Wakifanya dukani na kununua vitu vingi; wakishiriki mahubiri ya kigari.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 116:15—Ni nani “washikamanifu” wa Mungu wanaotajwa katika mstari huu? (w12 5/15 22 ¶1-2)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 116:1–117:2 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Uhodari—Yesu Alifanya Nini

(Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha VIDEO, kisha mzungumzie lmd somo la 12 jambo kuu la 1-2.

5. Uhodari—Mwige Yesu

(Dak. 8) Mazungumzo yakitegemea lmd somo la 12 jambo kuu la 3-5 na “Soma Pia.”

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 60

6. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

7. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 19 ¶1-5, sanduku uk. 149-150

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 29 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki