Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb24 Novemba uku. 9
  • Desemba 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2024
mwb24 Novemba uku. 9

DESEMBA 9-15

ZABURI 119:​1-56

Wimbo 124 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. “Kijana Anaweza Kuisafishaje Njia Yake?”

(Dak. 10)

Endelea kujilinda (Zb 119:9; w87 11/1 15 ¶10)

Shikamana na vikumbusho vya Mungu (Zb 119:​24, 31, 36; w06 6/15 25 ¶1)

Yageuzie mbali macho yako yasitazame mambo yasiyofaa (Zb 119:37; w10 4/15 20 ¶2)

Kijana akifanya funzo la kibinafsi.

JIIULIZE, ‘Nimepokea vikumbusho gani ambavyo vinaweza kunisaidia niendelee kuwa safi kimaadili?’

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 119—Zaburi hii iliandikwa kwa mtindo gani, na huenda iliandikwa kwa sababu gani? (w05 4/15 10 ¶2)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Zb 119:​1-32 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha mazungumzo na mtu unayekutana naye barabarani ukiwa katika huduma ya nyumba kwa nyumba. (lmd somo la 1 jambo kuu la 4)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Katika ziara iliyotangulia, mwenye nyumba alikuambia alifiwa na mpendwa wake hivi karibuni. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)

6. Hotuba

(Dak. 5) ijwyp 83—Kichwa: Ninaweza Kupinga Vishawishi Jinsi Gani? (th somo la 20)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 40

7. Video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo

(Dak. 10) Onyesha VIDEO.

8. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 5)

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 19 ¶6-13

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 21 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki