Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Machi uku. 3
  • Machi 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Machi uku. 3

MACHI 10-16

METHALI 4

Wimbo 36 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mlinzi aliye juu kwenye mnara wa mlinzi akiwaagiza walinzi wa malango wafunge malango ya jiji.

Walinzi wakitenda upesi baada ya kuwaona maadui wanaokuja

1. “Ulinde Moyo Wako”

(Dak. 10)

Neno “moyo” linarejelea utu wa ndani (Zb 51:6; w19.01 15 ¶4)

Jambo kuu kwetu linapaswa kuwa kuulinda (Met 4:23a; w19.01 17 ¶10-11; 18 ¶14; ona picha)

Uzima wetu unategemea hali ya moyo wetu wa mfano (Met 4:23b; w12 5/1 32 ¶2)

Ndugu akigeuza kichwa upesi ili asitazame jambo lisilofaa kwenye simu yake ya mkononi.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 4:18—Mstari huu unaweza kutumiwaje kufafanua ukuzi wa kiroho wa Mkristo? (w21.08 8 ¶4)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 4:​1-18 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwenye nyumba anaonyesha upendezi baada ya kupokea mwaliko wa Ukumbusho. (lmd somo la 1 jambo kuu la 5)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu unayemfahamu kwenye Ukumbusho. (lmd somo la 2 jambo kuu la 3)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Onyesho. ijwfq makala ya 19—Kichwa: Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Hawasherehekei Ista? (lmd somo la 3 jambo kuu la 4)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 16

7. Video ya Machi ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo

(Dak. 10) Onyesha VIDEO.

8. Kampeni ya Ukumbusho Itaanza Jumamosi, Machi 15

(Dak. 5) Hotuba itolewe na mwangalizi wa utumishi. Eleza mipango ya kutaniko lenu ya kampeni, hotuba ya pekee, na Ukumbusho. Watie moyo wote waongeze utendaji wao mwezi wa Machi na Aprili.

9. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 23 ¶16-19, sanduku uk. 188

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 76 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki