Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Mei uku. 8
  • Mei 26–Juni 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 26–Juni 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Mei uku. 8

MEI 26–JUNI 1

METHALI 15

Wimbo 102 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Wasaidie Wengine Wawe na Moyo Mchangamfu

(Dak. 10)

Ndugu zetu wanapokabili majaribu makali, wanaweza kuhisi kwamba siku zao zote zilikuwa mbaya (Met 15:15)

Waonyeshe ukarimu wale wanaokabili hali ngumu (Met 15:17; w10 11/15 31 ¶16)

“Kumtupia mtu jicho kwa uchangamfu” na maneno machache yenye kutia moyo, kunaweza kumfariji sana (Met 15:​23, 30, maelezo ya chini; w18.04 23-24 ¶16-18)

Wenzi wa ndoa vijana wakifurahia viburudisho pamoja na dada mwenye umri mkubwa nyumbani kwake.

JIULIZE: ‘Ni nani katika kutaniko letu ambaye huenda anahitaji kutiwa moyo? Ninawezaje kumsaidia?’

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 15:22—Kanuni hii ya Biblia inawezaje kutusaidia kufanya maamuzi mazuri kuhusu matibabu? (ijwbq makala ya 39 ¶3)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 15:​1-21 (th somo la 2)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) NYUMBA KWA NYUMBA. (lmd somo la 1 jambo kuu la 5)

5. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha funzo la Biblia. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)

6. Kufanya Wanafunzi

(Dak. 5) Mtie moyo mwanafunzi wa Biblia anayekabili upinzani kutoka kwa watu wa familia. (th somo la 4)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 155

7. Tunaweza Kuwa na Moyo Mchangamfu Licha ya Majaribu

(Dak. 15) Mazungumzo.

Onyesha VIDEO Tunaweza Kuwa na Shangwe Licha ya Upanga, Kuwa na Njaa, na kuwa Uchi. Kisha waulize wasikilizaji:

  • Unajifunza nini kutokana na masimulizi haya?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 27 ¶1-9

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 100 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki