Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb25 Mei uku. 9
  • Juni 2-8

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 2-8
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2025
mwb25 Mei uku. 9

JUNI 2-8

METHALI 16

Wimbo 36 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Maswali Matatu Yanayoongoza Kwenye Maamuzi Mazuri

(Dak. 10)

Je, ninatumaini mwongozo wa Yehova? (Met 16:​3, 20; w14 1/15 19-20 ¶11-12)

Je, uamuzi wangu utamfurahisha Yehova? (Met 16:7)

Je, mimi huathiriwa sana na mambo ambayo wengine husema au kufanya? (Met 16:25; w13 9/15 17 ¶1-3)

Ndugu kijana akiwa dukani, anaonyeshwa suti inayobana na muuzaji wa duka hilo. Lakini ndugu huyo anaulizia kuhusu suti itakayomtosha vizuri.

JIULIZE, ‘Maswali haya yanaweza kunisaidiaje kufanya maamuzi mazuri inapohusu mavazi na kujipamba?’

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Met 16:22—Ni katika njia gani wajinga “hutiwa nidhamu kwa ujinga wao wenyewe”? (it-1 629)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

(Dak. 4) Met 16:​1-20 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwonyeshe mtu jinsi anavyoweza kunufaika kwa kutumia jw.org. (lmd somo la 2 jambo kuu la 5)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwalike mtu ambaye alikataa kujifunza Biblia zamani aanze kujifunza. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)

6. Hotuba

(Dak. 5) ijwbv makala ya 40—Kichwa: Ni Nini Maana ya Methali 16:3? (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 32

7. Mahitaji ya Kutaniko

(Dak. 15)

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

(Dak. 30) bt sura ya 27 ¶10-18

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 68 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki