Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • wp21 Na. 2 uku. 3
  • Tunahitaji Ulimwengu Bora!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tunahitaji Ulimwengu Bora!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Biblia Inasema Nini Kuhusu Magonjwa ya Mlipuko?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Wewe Ungebadili Nini?
    Amkeni!—2012
  • Kwa Nini Hali ya Hewa Imebadilika?
    Amkeni!—2003
  • Vita Vitakwisha Lini?​—Biblia Inasema Nini?
    Habari Zaidi
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2021
wp21 Na. 2 uku. 3
Mwanamume akigeuka ili asione habari mbaya kwenye vyombo vya habari. Amechoshwa na habari za vita, magonjwa, umaskini, vurugu, na mambo mengine yenye kuvunja moyo.

Tunahitaji Ulimwengu Bora!

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, alisema: “Tunaishi katika ulimwengu uliovurugika na wenye matatizo mengi.” Bila shaka unakubaliana na maneno hayo.

Habari nyingi tunazosikia ni mbaya:

  • Magonjwa na milipuko ya magonjwa yanayoenea kwa kasi

  • Majanga ya asili

  • Umaskini na njaa

  • Uchafuzi wa mazingira na kuongezeka kwa joto duniani

  • Uhalifu, jeuri, na rushwa

  • Vita

Ni wazi kwamba tunahitaji ulimwengu bora. Ulimwengu ambao watu wote watafurahia:

  • Afya kamilifu

  • Usalama

  • Vyakula vingi

  • Mazingira mazuri

  • Haki

  • Amani

Lakini tunapozungumzia ulimwengu bora, tunamaanisha nini?

Ni nini kitakachoupata ulimwengu huu wa sasa?

Tunaweza kufanya nini ili tuishi katika ulimwengu huo bora?

Gazeti hili la Mnara wa Mlinzi linatoa majibu ya Biblia yenye kufariji ya maswali hayo na mengine yanayofanana na hayo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki