B11
Hekalu la Mlimani Katika Karne ya Kwanza
Makala Iliyochapishwa
Sehemu za Hekalu
1 Patakatifu Zaidi
2 Patakatifu
3 Madhabahu ya Dhabihu za Kuteketezwa
4 Bahari Iliyotengenezwa kwa Madini Yaliyoyeyushwa
5 Ua wa Makuhani
6 Ua wa Israeli
7 Ua wa Wanawake
8 Ua wa Watu Wasio Wayahudi
9 Uzio (Soreg)
10 Safu ya Nguzo za Mfalme
11 Safu ya Nguzo za Sulemani
12 Ngome ya Antonia