1
Wanaume waandikishwa jeshini (1-46)
Walawi hawakuandikishwa jeshini (47-51)
Kambi yapangwa kwa utaratibu (52-54)
2
3
4
Utumishi wa Wakohathi (1-20)
Utumishi wa Wagershoni (21-28)
Utumishi wa Wamerari (29-33)
Muhtasari kuhusu idadi ya watu waliohesabiwa (34-49)
5
Kuwatenga watu wasio safi (1-4)
Kuungama na kulipia kosa (5-10)
Maji yatumiwa kuthibitisha ikiwa mtu alifanya uzinzi (11-31)
6
7
8
Haruni awasha taa saba (1-4)
Walawi watakaswa na kuanza utumishi wao (5-22)
Mipaka ya umri kwa ajili ya utumishi wa Walawi (23-26)
9
10
Tarumbeta za fedha (1-10)
Kuondoka Sinai (11-13)
Utaratibu wa kuondoka (14-28)
Hobabu aombwa awaongoze Waisraeli (29-34)
Sala aliyotoa Musa walipokuwa wakianza safari (35, 36)
11
Mungu aleta moto kwa sababu ya malalamiko (1-3)
Watu walilia nyama (4-9)
Musa ahisi hastahili (10-15)
Yehova awapa roho wazee 70 (16-25)
Eldadi na Medadi; Yoshua aona wivu kwa ajili ya Musa (26-30)
Kware waletwa; watu waadhibiwa kwa sababu ya pupa (31-35)
12
Miriamu na Haruni wampinga Musa (1-3)
Yehova amtetea Musa (4-8)
Miriamu apigwa na ukoma (9-16)
13
14
Watu wataka kurudi Misri (1-10)
Yehova akasirika; Musa aingilia kati (11-19)
Adhabu: miaka 40 nyikani (20-38)
Waisraeli washindwa na Waamaleki (39-45)
15
Sheria kuhusu dhabihu (1-21)
Dhabihu kwa ajili ya dhambi zilizofanywa bila kukusudia (22-29)
Adhabu kwa ajili ya dhambi zilizofanywa kimakusudi (30, 31)
Aliyevunja Sabato auawa (32-36)
Mavazi yawe na upindo wa nyuzinyuzi (37-41)
16
17
18
19
20
Miriamu afa kule Kadeshi (1)
Musa aupiga mwamba na hivyo kutenda dhambi (2-13)
Waedomu wawazuia Waisraeli kupita (14-21)
Kifo cha Haruni (22-29)
21
Mfalme wa Aradi ashindwa (1-3)
Nyoka wa shaba (4-9)
Waisraeli wazunguka Moabu (10-20)
Mfalme Sihoni wa Waamori ashindwa (21-30)
Mfalme Ogu wa Waamori ashindwa (31-35)
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36