NEHEMIA YALIYOMO 1 Habari kutoka Yerusalemu (1-3) Sala ya Nehemia (4-11) 2 Nehemia aruhusiwa kwenda Yerusalemu (1-10) Nehemia akagua kuta za jiji (11-20) 3 Kuta zajengwa upya (1-32) 4 Kazi yaendelea licha ya upinzani (1-14) Ujenzi waendelea wajenzi wakiwa na silaha (15-23) 5 Nehemia akomesha ukandamizaji (1-13) Nehemia hakutenda kwa ubinafsi (14-19) 6 Kazi ya kujenga upya yaendelea kupingwa (1-14) Ukuta wakamilika baada ya siku 52 (15-19) 7 Malango ya jiji na walinzi wa malango (1-4) Orodha ya watu waliorudi kutoka uhamishoni (5-69) Watumishi wa hekaluni (46-56) Wana wa watumishi wa Sulemani (57-60) Michango kwa ajili ya kazi (70-73) 8 Sheria yasomwa na kufafanuliwa mbele ya watu (1-12) Sherehe ya Vibanda yaadhimishwa (13-18) 9 Watu waungama dhambi zao (1-38) Yehova, Mungu anayesamehe (17) 10 Watu wakubali kuifuata Sheria (1-39) “Hatutaipuuza nyumba ya Mungu wetu” (39) 11 Watu waanza kuishi tena Yerusalemu (1-36) 12 Makuhani na Walawi (1-26) Ukuta wazinduliwa (27-43) Kutegemeza utumishi wa hekalu (44-47) 13 Nehemia afanya marekebisho zaidi (1-31) Sehemu za kumi zatolewa (10-13) Sabato isichafuliwe (15-22) Wakatazwa kuoa watu wa mataifa mengine (23-28)