OBADIA YALIYOMO Kunyenyekezwa kwa taifa la Edomu lenye kiburi (1-9) Taifa la Edomu lamtendea Yakobo ukatili (10-14) Siku ya Yehova ya kuhukumu mataifa yote (15, 16) Kurudishwa kwa nyumba ya Yakobo (17-21) Edomu kuangamizwa na Yakobo (18) Ufalme utakuwa wa Yehova (21)