1
Yona ajaribu kumkimbia Yehova (1-3)
Yehova aleta dhoruba kali (4-6)
Yona ndiye chanzo cha taabu (7-13)
Yona atupwa ndani ya bahari iliyochafuka (14-16)
Samaki mkubwa ammeza Yona (17)
2
3
Yona amtii Mungu na kwenda Ninawi (1-4)
Waninawi watubu baada ya kusikia ujumbe wa Yona (5-9)
Mungu aamua kutoangamiza Ninawi (10)
4