1
2
3
4
Ibilisi amjaribu Yesu (1-11)
Yesu aanza kuhubiri Galilaya (12-17)
Wanafunzi wa kwanza wachaguliwa (18-22)
Yesu ahubiri, afundisha, na kuponya (23-25)
5
6
7
8
Mtu mwenye ukoma aponywa (1-4)
Ofisa wa jeshi mwenye imani (5-13)
Yesu aponya wengi Kapernaumu (14-17)
Jinsi ya kumfuata Yesu (18-22)
Yesu atuliza dhoruba (23-27)
Yesu awaruhusu roho waovu waingie katika nguruwe (28-34)
9
Yesu amponya mtu aliyepooza (1-8)
Yesu amwita Mathayo (9-13)
Swali kuhusu kufunga (14-17)
Binti ya Yairo; mwanamke agusa vazi la nje la Yesu (18-26)
Yesu aponya vipofu na mabubu (27-34)
Mavuno ni mengi lakini wafanyakazi ni wachache (35-38)
10
Mitume 12 (1-4)
Maagizo kwa ajili ya huduma (5-15)
Wanafunzi watateswa (16-25)
Mwogope Mungu, si wanadamu (26-31)
Sikuleta amani, bali upanga (32-39)
Kuwakaribisha wanafunzi wa Yesu (40-42)
11
Yohana Mbatizaji asifiwa (1-15)
Kizazi kisicho na imani chashutumiwa (16-24)
Yesu amsifu Baba yake kwa kuwafunulia mambo wanyenyekevu (25-27)
Nira ya Yesu inaburudisha (28-30)
12
Yesu ndiye “Bwana wa Sabato” (1-8)
Mtu mwenye mkono uliopooza aponywa (9-14)
Mtumishi mpendwa wa Mungu (15-21)
Atumia roho takatifu kuwafukuza roho waovu (22-30)
Dhambi isiyosamehewa (31, 32)
Mti hujulikana kwa matunda yake (33-37)
Ishara ya Yona (38-42)
Roho mwovu anaporudi (43-45)
Mama na ndugu za Yesu (46-50)
13
14
Yohana Mbatizaji akatwa kichwa (1-12)
Yesu alisha wanaume 5,000 (13-21)
Yesu atembea juu ya maji (22-33)
Yesu awaponya watu huko Genesareti (34-36)
15
Yesu afunua mapokeo ya wanadamu (1-9)
Mtu huchafuliwa na kinachotoka moyoni (10-20)
Imani kubwa ya mwanamke Mfoinike (21-28)
Yesu aponya magonjwa mengi (29-31)
Yesu alisha wanaume 4,000 (32-39)
16
Waomba ishara (1-4)
Chachu ya Mafarisayo na Masadukayo (5-12)
Funguo za Ufalme (13-20)
Kifo cha Yesu chatabiriwa (21-23)
Wanafunzi wa kweli (24-28)
17
Yesu ageuka sura (1-13)
Imani kama mbegu ya haradali (14-21)
Kifo cha Yesu chatabiriwa tena (22, 23)
Walipa kodi kwa sarafu iliyotolewa kinywani mwa samaki (24-27)
18
Aliye mkuu zaidi katika Ufalme (1-6)
Vikwazo (7-11)
Mfano wa kondoo aliyepotea (12-14)
Jinsi ya kumpata ndugu yako (15-20)
Mfano wa mtumwa aliyekosa kusamehe (21-35)
19
Ndoa na talaka (1-9)
Zawadi ya useja (10-12)
Yesu awabariki watoto (13-15)
Swali la mwanamume kijana tajiri (16-24)
Kujidhabihu kwa ajili ya Ufalme (25-30)
20
Wafanyakazi katika shamba la mizabibu wapokea mshahara unaolingana (1-16)
Kifo cha Yesu chatabiriwa tena (17-19)
Ombi la kupewa vyeo katika Ufalme (20-28)
Wanaume wawili vipofu waponywa (29-34)
21
Yesu aingia kwa kishindo (1-11)
Yesu asafisha hekalu (12-17)
Mtini walaaniwa (18-22)
Wataka kujua chanzo cha mamlaka ya Yesu (23-27)
Mfano wa wana wawili (28-32)
Mfano wa wakulima wauaji (33-46)
22
Mfano wa karamu ya ndoa (1-14)
Mungu na Kaisari (15-22)
Swali kuhusu ufufuo (23-33)
Amri mbili zilizo kuu zaidi (34-40)
Je, Kristo ni mwana wa Daudi? (41-46)
23
Msiwaige waandishi na Mafarisayo (1-12)
Ole kwa waandishi na Mafarisayo (13-36)
Yesu aombolezea Yerusalemu (37-39)
24
25
26
Makuhani wapanga njama ya kumuua Yesu (1-5)
Yesu amiminiwa mafuta yenye manukato (6-13)
Pasaka ya mwisho na kusalitiwa (14-25)
Mlo wa Jioni wa Bwana waanzishwa (26-30)
Yesu atabiri kwamba Petro atamkana (31-35)
Yesu asali huko Gethsemane (36-46)
Yesu akamatwa (47-56)
Kesi mbele ya Sanhedrini (57-68)
Petro amkana Yesu (69-75)
27
Yesu akabidhiwa kwa Pilato (1, 2)
Yuda ajinyonga (3-10)
Yesu mbele ya Pilato (11-26)
Adhihakiwa hadharani (27-31)
Atundikwa kwenye mti huko Golgotha (32-44)
Yesu afa (45-56)
Yesu azikwa (57-61)
Kaburi lawekewa ulinzi mkali (62-66)
28