1
Neno akawa mwili (1-18)
Ushahidi uliotolewa na Yohana Mbatizaji (19-28)
Yesu, Mwanakondoo wa Mungu (29-34)
Wanafunzi wa kwanza wa Yesu (35-42)
Filipo na Nathanaeli (43-51)
2
Harusi huko Kana; abadili maji kuwa divai (1-12)
Yesu asafisha hekalu (13-22)
Yesu anajua kilicho ndani ya mwanadamu (23-25)
3
4
Yesu na mwanamke Msamaria (1-38)
Wasamaria wengi wamwamini Yesu (39-42)
Yesu amponya mwana wa ofisa (43-54)
5
Mwanamume mgonjwa aponywa Bethzatha (1-18)
Yesu apewa mamlaka na baba yake (19-24)
Wafu watasikia sauti ya Yesu (25-30)
Ushahidi kumhusu Yesu (31-47)
6
Yesu alisha wanaume 5,000 (1-15)
Yesu atembea juu ya maji (16-21)
Yesu ndiye “mkate wa uzima” (22-59)
Wengi wakwazwa na maneno ya Yesu (60-71)
7
Yesu akiwa kwenye Sherehe ya Vibanda (1-13)
Yesu afundisha kwenye sherehe (14-24)
Maoni mbalimbali kumhusu Yesu (25-52)
8
Baba hutoa ushahidi kumhusu Yesu (12-30)
Watoto wa Abrahamu (31-41)
Watoto wa Ibilisi (42-47)
Yesu na Abrahamu (48-59)
9
Yesu amponya mwanamume aliyezaliwa kipofu (1-12)
Mafarisayo wamuuliza maswali mwanamume aliyeponywa (13-34)
Upofu wa Mafarisayo (35-41)
10
Mchungaji na kondoo (1-21)
Wayahudi wakutana na Yesu kwenye Sherehe ya Wakfu (22-39)
Wayahudi wengi wakataa kuamini (24-26)
“Kondoo wangu husikiliza sauti yangu” (27)
Mwana yuko katika muungano na Baba (30, 38)
Watu wengi ng’ambo ya Yordani waamini (40-42)
11
Kifo cha Lazaro (1-16)
Yesu awafariji Martha na Maria (17-37)
Yesu amfufua Lazaro (38-44)
Njama ya kumuua Yesu (45-57)
12
Maria ammiminia Yesu mafuta miguuni (1-11)
Yesu aingia kwa kishindo (12-19)
Yesu atabiri kifo chake (20-37)
Ukosefu wa imani wa Wayahudi watimiza unabii (38-43)
Yesu alikuja kuuokoa ulimwengu (44-50)
13
Yesu aosha miguu ya wanafunzi wake (1-20)
Yesu amtambulisha Yuda kuwa msaliti (21-30)
Amri mpya (31-35)
Yesu atabiri Petro atamkana (36-38)
14
15
Mfano wa mzabibu wa kweli (1-10)
Amri ya kuonyesha upendo kama wa Kristo (11-17)
Ulimwengu unawachukia wanafunzi wa Yesu (18-27)
16
Wanafunzi wa Yesu watakabili kifo (1-4a)
Kazi ya roho takatifu (4b-16)
Huzuni ya wanafunzi itageuka kuwa shangwe (17-24)
Yesu aushinda Ulimwengu (25-33)
17
18
Yuda amsaliti Yesu (1-9)
Petro atumia upanga (10, 11)
Yesu apelekwa kwa Anasi (12-14)
Petro amkana Yesu mara ya kwanza (15-18)
Yesu mbele ya Anasi (19-24)
Petro amkana Yesu mara ya pili na ya tatu (25-27)
Yesu mbele ya Pilato (28-40)
19
Yesu apigwa na kudhihakiwa (1-7)
Pilato amuuliza tena Yesu maswali (8-16a)
Yesu atundikwa kwenye mti huko Golgotha (16b-24)
Yesu amfanyia mama yake maandalizi (25-27)
Yesu afa (28-37)
Yesu azikwa (38-42)
20
Kaburi tupu (1-10)
Yesu amtokea Maria Magdalene (11-18)
Yesu awatokea wanafunzi wake (19-23)
Tomasi awa na shaka lakini baadaye asadikishwa (24-29)
Kusudi la kitabu hiki cha kukunjwa (30, 31)
21
Yesu awatokea wanafunzi wake (1-14)
Petro amhakikishia Yesu kwamba anampenda (15-19)
Wakati ujao wa mwanafunzi aliyependwa na Yesu (20-23)
Umalizio (24, 25)