2 WATHESALONIKE YALIYOMO 1 Salamu (1, 2) Imani ya Wathesalonike yazidi kukua (3-5) Kisasi dhidi ya wasiotii (6-10) Sala kwa ajili ya kutaniko (11, 12) 2 Yule mtu wa uasi-sheria (1-12) Wahimizwa kubaki imara (13-17) 3 Endeleeni kusali (1-5) Onyo dhidi ya kutofuata utaratibu (6-15) Salamu za mwisho (16-18)