1
Salamu (1, 2)
Paulo amshukuru Mungu kwa sababu ya imani ya Timotheo (3-5)
Endelea kuchochea kama moto zawadi ya Mungu (6-11)
Endelea kushika maneno yenye manufaa (12-14)
Maadui na marafiki wa Paulo (15-18)
2
Wakabidhi ujumbe wanaume wanaostahili (1-7)
Kuvumilia mateso kwa ajili ya habari njema (8-13)
Litumie sawasawa neno la Mungu (14-19)
Zikimbie tamaa za ujana (20-22)
Jinsi ya kushughulika na wapinzani (23-26)
3
Nyakati hatari katika siku za mwisho (1-7)
Fuata mfano wa Paulo kwa ukaribu (8-13)
“Endelea kufuata mambo uliyojifunza” (14-17)
4
“Timiza kikamili huduma yako” (1-5)
“Nimepigana pigano zuri” (6-8)
Maelezo ya binafsi (9-18)
Salamu za mwisho (19-22)