Mawimbi Yenye Nguvu
Mawimbi ya bahari kuu yana nguvu nyingi sana. Baada ya mawimbi ya pwani ya Scotland kubomoa na kubingirisha jiwe lenye tani 1,350, mahali pake paliwekwa nguzo ya tani 2,600. Lakini miaka fulani baadaye hiyo, pia, ilichukuliwa na mawimbi.